POST DETAILS
POST |
FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME) – 1 POST |
POST CATEGORY(S) |
ENGINEERING AND CONSTRUCTION |
EMPLOYER |
Halmashauri ya Wilaya Simanjiro |
APPLICATION TIMELINE: |
2020-09-01 2020-09-14 |
JOB SUMMARY |
N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIESQUALIFICATION AND EXPERIENCE
i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari ya Serikali na kurekebisha ipasavyo; ii. Kufanya upimaji wa Mitambo na Umeme kufuatana na maelekezo ya Mhandisi;
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne (IV) au sita (VI) na kufuzu mafunzo ya Ufundi ya miaka miwili/Stashahada katika fani ya Umeme kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION |
TGS C |
TO APLLY CLICK HERE