POST DETAILS
POST |
FUNDI SANIFU DARAJA LA PILI (MECHANICAL) – 1 POST |
POST CATEGORY(S) |
ENGINEERING AND CONSTRUCTION |
EMPLOYER |
Ministry of Works, Transport and Communications |
APPLICATION TIMELINE: |
2020-09-01 2020-09-14 |
JOB SUMMARY |
N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari ya Serikali na kurekebisha ipasavyo;ii. Kufanya upimaji wa Mitambo na Umeme kufuatana na maelekezo ya Mhandisi;iii. Kufanya matengenezo ya mifumo ya umeme;iv. Kufanya kazi za kutengeneza mitambo,magari na vifaa vya umeme; nav. Kufanya usanifu wa miradi midogo midogo ya umeme (kusimamia jinsi ya kufunga mashine mpya zinazowekwa kwenye karakana za Ufundi na Umeme.QUALIFICATION AND EXPERIENCE
|
TO APLLY CLICK HERE