POST MSAIDIZI USTAWI WA JAMII DARAJA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL DEVELOPMENT
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH (MOH)
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kutambua na kuhudumia watu walio katika makundi maalum na mazingira hatarishi;
ii.Kukusanya takwimu zinazohusu watu walio katika makundi maalum na mazingira hatarishi;
iii.Kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia na watu wenye dhiki; na
iv.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita na wenye cheti cha mafunzo ya mwaka mmoja ya Ustawi wa Jamii kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C
The deadline for submitting the application is 23 February, 2021