MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – 38 POST at MDAs & LGAs

by Udahiliportaldaily

POST DETAILS

POST MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – 38 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2023-02-13 2023-02-19

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.

ii. Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.

iii. Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa wakati unaohitajika.

iv. Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majadala, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.

v. Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.

vi. Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya,kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.

vii. Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kaz

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV/VI waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani na kupata cheti cha Stashahada (Diploma) NTA LEVEL 6. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta katika programu za Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na

Publisher.

REMUNERATION TGS C

APPLY HERE

 

Related Posts

Adblock Detected

Please support us by disabling your AdBlocker extension from your browsers for our website.