udahiliportal

Undergraduate selections 2018/19 | Selected applicants Degree/ for Universities in Tanzania(All Universities-Tanzania)

Good News Tanzania Undergraduate selections For academic year 2018/19 are now out, check university links below to view selected applicants.

2018/2019 Selected Applicants / Candidates for Universities in Tanzania


2018/2019 Selected Applicants / Candidates for Accredited Private Universities in Tanzania


2018/2019 Selected Applicants / Candidates for Public University Colleges in Tanzania


2017 / 2018 Selected Applicants / Candidates for Private University Colleges in Tanzania


Join our WhatsApp group To receive Education updates
We have created the WhatsApp Group to enable you receive and share our updates instantly, networking, raise a questions, 24/7 support & assistance on how to apply for higher education, admissions, Education News . If you would like to receive our daily updates , then all you need to do is to join on our groups. Join now click here

159 thoughts on “Undergraduate selections 2018/19 | Selected applicants Degree/ for Universities in Tanzania(All Universities-Tanzania)

 1. Ezekiel

  Samahani mbona selection za vyuo vya Dar es salaam Maritime Institute pamoja na Institute of accountancy arusha hatuoni majibu yake mpaka sasa

  Reply
  1. Dickson

   UDSM kwenye Multiple selection inaonekana lakini kama chuo hatuoni,so kwa aliyepewa single selection UDSM Tutamjuaje

   Reply
 2. @Alexis

  Hivi udom hakuna list ya majina nyingine zaidi ya ile ya multiple selection?!?

  Reply
 3. Lizbon A

  Na vipi kuhusu IFM nayo mbona hatuyaoni? Na pia kuhusu wale walioapply diploma nao ya kwako yanaonekana vipi

  Reply
 4. Flesha Mrimi

  Jaman!! Leo tareh 3 mimi cjatumiwa bado hiy confirmation code, what wrong?

  Reply
 5. Hossiana

  Jamani toeni maijibu nyinyi mnaomiliki hii link, udsm hatuoni harafu hii ni selection udom na mzumbe niya awali au kunanyingine?

  Reply
  1. Udahiliportal Post author

   UDSM bado hawajaachia majina … Mzumbe wametoa zote …udom wametoa multiple selection only… Wa single selection unaeza kuangalia kwenye profile yako ya admission uliyofanyia application

   Reply
   1. Elice Titus

    Jmn me nmeyaona hayo majina ya single selection udsm na jina language halipo lakin kwenye multiple selection lipo udsm na udom ….sasa udsm sielew kwa kwel maan cku za kuconfirm znaish

    Reply
    1. Udahiliportal Post author

     Vyuo vingi vimeachia single selection cheki vizuri kwa hizo links

     Reply
     1. Felix

      Vp kuhuxu ambaoa hatujaona majna etu kabxa nikuomba upya au ?

     2. George

      Yan kwann udsn inagoma kufunguka yai had I inaumiza kichwa

 6. Said

  Mbnaa hyoo link walio toaa ya majina haifungukii.. au kunaa Alie yaona majna ya udsm jaman??

  Reply
   1. Naymah Mohammed

    Hiyo confirmation code mbona hatutumiwi na leo ni tarehe tatu au siku zitaongezwa

    Reply
 7. Marungi Elisha

  Waliopata chuo kimojA lini wanatoa matokeo ya jumla kwa waliochaguliwa

  Reply
 8. Flesha Mrimi

  Jaman!! Leo tareh 3 mimi cjatumiwa bado hiy confirmation code, what wrong?

  Reply
 9. Moza Issa

  wanasema hayo ni majina ya multiple selection vipi hakuna waliopata chuo kimoja

  Reply
 10. Gatis candis

  if i have been selected into one of the universities which wasent my priority, can i ignore the selection and re-apply to the university i priotise ?

  Reply
  1. Niko

   Yah wewe nenda chuo andika barua alafu watakuwa barua tao ili uipeleke tcu kwa ajiri ya kuwaambia watoe jina lako kwenye system ili uombe tena second.

   Reply
 11. Yasin dictionary

  The state university of zamzibar compas ya tunguu bado hawajaachia matokeo ya undergraduate

  Reply
  1. Udahiliportal Post author

   Sua bado tunaendelea kufuatilia boss. Tutayaweka hadharani soon

   Reply
   1. David

    Jaman issue special code ni tatizo maana message zinaingia za kupongeza then wanatoa muda kutuma hizo code but no response way

    Reply
 12. Ezekiel

  Sisi was single na ambao tulifanya application moja kwa moja huko vyuoni na hatukutumia njia ya online tutafahamu kivipi majina yetu kama yameshatoka

  Reply
  1. Upendo Kimburaga

   Jaman na IFM pia hayaonekani tatizo ni nini. Na muda unaenda tunaomba jaman tusaidieni kutoa hayo IFM

   Reply
  1. Radiam

   Hapana hulipii kama mwanzon uliaplly hcho chuo unaingia tu kweny account yako una re-aplly!!! Welcome udom

   Reply
 13. Titus Stanslaus

  Uongoz in vema kutoa majibu ya comment zetu VP kuhusu waliopata chuo kimoja na ictoshe kodi hazitumwi na mda ndo unaisha au kutakuwepo kuongezwa mda?

  Reply
 14. Titus Stanslaus

  Tofaut na multiple results kuna chuo ambacho kimetoa single results? na kama kipo tupatie majina mkuu!!!!

  Reply
 15. Komfort

  udsm mbona hatuoni selection zao, wanataka tuconfirm kwa njia gani kama hatujaua course????

  Reply
 16. Pingback: St. John’s University of Tanzania SJUT Selection 2018/ 2019 – Udahili Portal 2018/19

 17. Pingback: Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Selected Candidates Applicants 2018 – 2019 – Udahili Portal 2018/19

 18. Mwajabu rajabu

  jaman kwa wale waliomba chuo kimoja tu na mpk sasa hatujajua km tumepata au la na cku zinaisha za kupata majibu…ina maana tarehe 6 itabidi tuombe tena au???pllllz naombeni majibu

  Reply
  1. Faudhat swalehe

   Na Mimi pia sijapata mpk now msaada jamani mbn muda unaisha?nifanyaje

   Reply
 19. Baraka manase

  Iv ni kweli kwamba second round hauilipi kama ulisha lipa first round au utaratibu uko VP msaada ndugu yangu

  Reply
 20. Farida mwamba

  Jaman wa udsm Hadi mda huu hatuna tunachoelewa tatizo nn, cku zinaisha msaada wenu jmn

  Reply
 21. Prisila Aron

  Mimi nina multiple admission mpaka sasa sijatumiwa special code kutoka TCU ni fanyeje ili niipate?

  Reply
 22. eva

  Enter your comment here…jamani naomba kuuliza vp kuhusu single selection za chuo cha saut (mwecau)mbona hazionekane

  Reply
 23. AMBOKILE SAMSON

  jamani naombeni msaada wa kuona selection result kwenye acount chuo cha dar UDSM

  Reply
 24. MORGAN

  Kindly mwenye kujua jinsi ya ku confirm codes tafadhari nijulishe +255755968566 hii

  Reply
  1. Udahiliportal Post author

   Ni easy tu kama una confirmation code ..unaingia kwenye system ya chuo husika unakonfimu

   Reply
 25. Amina

  Etiih ukiwa Umechaguliwa Chuo kimoja alaf hujaridhika nacho, je unaweza kuomba tena kwenye vyuo ulivyokosa kwa Mara ya pili bila kusababisha tatizo lolote??

  Reply
  1. Udahiliportal Post author

   Inawezekana bt inabidi usikonfirm katika. Vyuo ulivyo chaguliwa do at your own risk sababu unaweza kukosa kote kote na ukalalia mwaka

   Reply
   1. Kelvin

    Naomba nitumiwe link ya majina na course ya udsm maana bado cjaona na nimechaguliwa hapo.

    Reply
   2. DAVID

    Kuna wanafunzi wengine waliochaguliwa zaidi ya chu kimoja hawajatumiwa special code mpaka sasa kweny namba zao wala hata kweny email hamna na muda ndo huo unaisha na wanatakiwa wacomfirm. jamani tusaidie

    Reply
    1. Udahiliportal Post author

     Usipoipata code yako jitahidi ufanye mawasiliano na TCU au admission Help desk ya chuo husika

     Reply
 26. Pingback: University of Dar es Salaam UDSM Selection 2018/ 2019 – Udahili Portal 2018/19

 27. Mansoor Mbella

  samahani naomba kuuliza et kama umechaguliwa na chuo kimoja(single) lakini unataka ujaribu tena chuo kingine, ukikosa hiko kingine unaweza kurudi kweny chuo kilichokuchagua mwanzoni?

  Reply
 28. Mwandawa

  Guys udom single selection hawajatoa bado wenye nayo naomba mtusaidie wapendwa

  Reply
 29. Chrispal M Sambila

  Samaan jaman, mwenyeuelewa wa kuwasiliana na TCU anisaidie niwasiliane nao maana sijatumiwa code

  Reply
 30. Faudhat swalehe

  Wengine washatumiwa code sijui sisi wengine kwann bdo,n muda unaisha msaada plcc

  Reply
 31. christian

  Single selections zxhatoka je VP kwa wale ambao hawajapat vyuo INA mana waaply tens au majina bado wanatoa mpk tareh ya mwxho au

  Reply
  1. David

   Jamani me naomba mnisaidie TCU wametuma SMS hii,,Dear applicant, you have been selected in more than one institution. Kindly confirm at your most preferred institution. Use this code to confirm in only one institution not later than 05/09/2018.,,,, Lakini ukiangalia SMS hii aina special code inayotakiwa. Naomba kusaidiwa

   Reply
 32. remmy

  udahiliportal nawapa pongezi kwa mchango wenu plz UDSM wakitoa tafadhali mtujuze mapema maana cku zmeisha ht hvo mbn km watu watakosa chance ya kuomba upya angali hawajajua km wako Udsm
  xo Udsm wanampango gan au nn tatizo au kisa wao ndo wakongwe ukubwa tabu

  Reply
   1. Jane Kiwanga

    jamani mnisaidie sijapata code hadi sasa nimejaribu kufuata ule utaratibu wa kutuma message lakini bdo.cpati msaada. Au wameshafunga?

    Reply
  1. Ay

   umeshaangalia ile site uliyofanyia application… udsm.admission.ac.tz au tumia ile link uliyotumiwa kweny email kwaajil ya kufungua account Everything is there even Kufanya confirmation

   Reply
 33. sarah

  Jamani to Do special mbona wengine hatujapata mpaka saa na kesho ndio mwisho ..!

  Reply
 34. Bonifasi

  Jamani bd cjatumiwa special code naomba msaada kwa anayejua nifanyeje sielew

  Reply
 35. Kelvin Mmanda

  Mbona chuo cha center for foreign relations and diplomas akipo ..?Wengine tunataka kukomfirm..

  Reply
 36. John Dsabuni

  hivi kama mtu umechanguliwa chuo kimoja ila course uliochaguliwa huitaki unaweza kuomba tna chuo kingine second round ?

  Reply
 37. Omary sadiki

  Hivi TIA tayar jaman mana kwnye profile yang naambiwa tu pending for selection uku naambiwa niingie ktka profile yang nakua celew nisaidien jaman

  Reply
 38. Student

  Mbona kcmc na kairuki na mwecau hawajatoa majina bado…watayatoa leo kweli ??

  Reply
 39. Revina elias

  Tunaomba kujua hayo majina ya diploma yanatoka linibmbona tulifanya application siku moja na undergraduate alafu hamna hata feedback yoyote kuhusu diploma

  Reply
  1. Udahiliportal Post author

   Yakitoka tutakuekea updates Revina endelea kuvisit udahiliportal

   Reply
 40. Beatrice

  Ivi Chuo Cha kodi (TIA) BCTM single selection mbona siyaoni majina
  Tupo nje ya muda tayari

  Reply
 41. Ester kiago Mweta

  Jamini system ya chuo cha usimamizi wa fedha IFM bado haifunguki mpaka sa hivi, kila uki log in wanakuambia refresh page ukijaribu haionyeshi chochote, Asa sisi ambao tumeomba chuo hicho inatuwia vigumu mpaka now, Tunaomba UDAHILI PORTAL mtusaidie kwa hili.

  Reply
 42. Mansoor Mbella

  samahani, ni lini tunaanza kufanya second application kwa tuliokosa au kutoridhika na chuo tulichopata? na tunaomba iwe mapema please ili kusiwe na usumbufu sana please.

  Reply
 43. mary mshana

  Mimi pia naulizia utaratibu wa kuomba mara ya pili…maana kuna wa2 hatujajiona kwenye single selection pia kwenye multiple…tunaomba kujuzwa….

  Reply
 44. Janeth Elisha

  Jaman round ya pl tunaanza kuaaply ln mana celewi Mara wengne wanasema mwisho tar 10 Mara wengine wanasema tunaanza tar 10 uwii mnatuchanganya jaman ety tunaomba muweke tar sahihi jaman

  Reply
 45. Janeth

  Jaman 2nd application ln tunaomba mtoe tar sahihi ya kuanza kuaaply second round

  Reply
 46. Beatrice

  Yaani tunaomba mtupe taarifa ya vyuo ambavyo havijatoa single selection mpaka sasa kwa round ya kwanza Kama ITA inakuaje?
  Tupo nje ya muda

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *